Yoshua 23:15 BHN

15 Lakini kama vile Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu, alivyotimiza mambo yote mema aliyowaahidi, vivyo hivyo anaweza kuwaletea maovu yote mpaka awaangamize nyote kutoka nchi hii nzuri ambayo amewapeni.

Kusoma sura kamili Yoshua 23

Mtazamo Yoshua 23:15 katika mazingira