3 Nyinyi mmeona mambo yote Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu aliyoyatendea mataifa haya yote kwa ajili yenu. Mwenyezi-Mungu Mungu wenu ndiye aliyewapigania.
Kusoma sura kamili Yoshua 23
Mtazamo Yoshua 23:3 katika mazingira