Yoshua 23:5 BHN

5 Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu, atawaondoa mbele yenu na kuwafukuza kabisa, nanyi mtaimiliki nchi yao kama vile Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu, alivyowaahidi.

Kusoma sura kamili Yoshua 23

Mtazamo Yoshua 23:5 katika mazingira