Yoshua 24:14 BHN

14 “Sasa, basi, mcheni Mwenyezi-Mungu na kumtumikia kwa moyo mnyofu na uaminifu. Acheni kabisa miungu ile ambayo wazee wenu waliiabudu ngambo ya mto Eufrate na nchini Misri. Mtumikieni Mwenyezi-Mungu.

Kusoma sura kamili Yoshua 24

Mtazamo Yoshua 24:14 katika mazingira