Yoshua 24:26 BHN

26 Yoshua akayaandika haya yote katika kitabu cha sheria ya Mungu; kisha, akachukua jiwe kubwa na kulisimika chini ya mwaloni katika hema ya Mwenyezi-Mungu.

Kusoma sura kamili Yoshua 24

Mtazamo Yoshua 24:26 katika mazingira