Yoshua 24:29 BHN

29 Baada ya mambo hayo, Yoshua, mwana wa Nuni na mtumishi wa Mwenyezi-Mungu, akafariki akiwa na umri wa miaka 110.

Kusoma sura kamili Yoshua 24

Mtazamo Yoshua 24:29 katika mazingira