Yoshua 24:5 BHN

5 Baadaye niliwatuma Mose na Aroni, nikailetea nchi ya Misri mapigo, na baadaye nikawatoa nyinyi nchini humo.

Kusoma sura kamili Yoshua 24

Mtazamo Yoshua 24:5 katika mazingira