9 Naye Balaki mwana wa Sipori, mfalme wa Moabu, akaja na kuwashambulia Waisraeli. Akamwalika Balaamu mwana wa Beori aje kuwalaani nyinyi.
Kusoma sura kamili Yoshua 24
Mtazamo Yoshua 24:9 katika mazingira