Yoshua 3:14 BHN

14 Basi, watu waliondoka katika kambi zao ili kwenda kuvuka mto Yordani, nao makuhani wakiwa wamebeba sanduku la agano wanawatangulia watu.

Kusoma sura kamili Yoshua 3

Mtazamo Yoshua 3:14 katika mazingira