Yoshua 4:19 BHN

19 Waisraeli walivuka mto Yordani katika siku ya kumi ya mwezi wa kwanza, wakapiga kambi huko mjini Gilgali, mashariki ya Yeriko.

Kusoma sura kamili Yoshua 4

Mtazamo Yoshua 4:19 katika mazingira