23 Mtawaambia kuwa Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu, aliyakausha maji ya mto Yordani kwa ajili yenu mpaka mkavuka, kama alivyokausha bahari ya Shamu, kwa ajili yetu tukavuka,
Kusoma sura kamili Yoshua 4
Mtazamo Yoshua 4:23 katika mazingira