Yoshua 5:12 BHN

12 Basi, tangu siku hiyo walipokula mazao ya nchi hiyo Waisraeli hawakupata mana tena. Tangu mwaka huo Waisraeli walikula mazao ya nchi ya Kanaani.

Kusoma sura kamili Yoshua 5

Mtazamo Yoshua 5:12 katika mazingira