Yoshua 5:14 BHN

14 Naye akamjibu; “Wala wenu wala wa adui zenu! Ila mimi ni kamanda wa jeshi la Mwenyezi-Mungu, na sasa nimewasili.” Yoshua akainama chini akasujudu, kisha akamwuliza, “Bwana wangu, mimi mtumishi wako, unataka nifanye nini?”

Kusoma sura kamili Yoshua 5

Mtazamo Yoshua 5:14 katika mazingira