Yoshua 5:7 BHN

7 Kwa hiyo ilikuwa ni watoto wa watu hao ambao Mwenyezi-Mungu aliwakuza badala yao, hao ndio Yoshua aliwatahiri, kwani hawakuwa wametahiriwa wakati ule walipokuwa safarini jangwani.

Kusoma sura kamili Yoshua 5

Mtazamo Yoshua 5:7 katika mazingira