Yoshua 6:12 BHN

12 Asubuhi yake Yoshua akaamka alfajiri na mapema, na makuhani wakalibeba lile sanduku la agano la Mwenyezi-Mungu.

Kusoma sura kamili Yoshua 6

Mtazamo Yoshua 6:12 katika mazingira