19 Lakini fedha yote, dhahabu, vyombo vya shaba na chuma ni vitakatifu kwa Mwenyezi-Mungu; hivyo vitawekwa katika hazina ya Mwenyezi-Mungu.”
Kusoma sura kamili Yoshua 6
Mtazamo Yoshua 6:19 katika mazingira