Yoshua 6:2 BHN

2 Mwenyezi-Mungu akamwambia Yoshua, “Angalia! Mimi nitautia mikononi mwako mji wa Yeriko pamoja na mfalme wake na askari wake shujaa.

Kusoma sura kamili Yoshua 6

Mtazamo Yoshua 6:2 katika mazingira