Yoshua 6:26 BHN

26 Wakati huo Yoshua alitamka apizo rasmi mbele ya watu akisema,“Atakayeujenga tena mji wa Yeriko,na alaaniwe na Mungu,Yeyote atakayeweka msingi wa mji huo,mzaliwa wake wa kwanza na afe.Yeyote atakayejenga lango la mji huo,mwanawe kitinda mimba na afe.”

Kusoma sura kamili Yoshua 6

Mtazamo Yoshua 6:26 katika mazingira