4 Makuhani saba, kila mmoja akiwa amechukua baragumu yake ya pembe za kondoo dume, watatangulia mbele ya sanduku la agano. Katika siku ya saba mtauzunguka mji huo mara saba, huku makuhani wakipiga mabaragumu.
Kusoma sura kamili Yoshua 6
Mtazamo Yoshua 6:4 katika mazingira