Yoshua 6:6 BHN

6 Basi, Yoshua, mwana wa Nuni, akawaita makuhani, akawaambia, “Libebeni sanduku la agano na makuhani saba wachukue mabaragumu saba za kondoo dume, watangulie mbele ya sanduku la Mwenyezi-Mungu.”

Kusoma sura kamili Yoshua 6

Mtazamo Yoshua 6:6 katika mazingira