Yoshua 7:11 BHN

11 Waisraeli wametenda dhambi, maana wamelivunja agano langu nililowaamuru washike; wamevichukua baadhi ya vitu vilivyowekwa wakfu viangamizwe; wameviiba na kudanganya, wakaviweka pamoja na vitu vyao.

Kusoma sura kamili Yoshua 7

Mtazamo Yoshua 7:11 katika mazingira