Yoshua 7:15 BHN

15 Mtu yeyote atakayepatikana akiwa na vitu vilivyotolewa viangamizwe atateketezwa kwa moto, yeye pamoja na kila kitu chake maana ameliasi agano langu mimi Mwenyezi-Mungu, akatenda jambo la aibu katika Israeli.’”

Kusoma sura kamili Yoshua 7

Mtazamo Yoshua 7:15 katika mazingira