18 Yoshua akaileta jamaa ya Zabdi karibu, nyumba baada ya nyumba; na nyumba ya Akani mwana wa Karmi, mwana wa Zabdi, mwana wa Zera, wa kabila la Yuda, ikachaguliwa.
Kusoma sura kamili Yoshua 7
Mtazamo Yoshua 7:18 katika mazingira