Yoshua 7:26 BHN

26 Halafu wakarundika mawe mengi juu yake, ambayo yako hadi leo. Hapo hasira ya Mwenyezi-Mungu ikapoa; na mahali hapo pakaitwa Bonde la Akori mpaka hivi leo.

Kusoma sura kamili Yoshua 7

Mtazamo Yoshua 7:26 katika mazingira