6 Yoshua akayararua mavazi yake, yeye pamoja na wazee wa Israeli. Wakajitupa chini mbele ya sanduku la Mwenyezi-Mungu mpaka jioni; wakajitia mavumbi vichwani mwao.
Kusoma sura kamili Yoshua 7
Mtazamo Yoshua 7:6 katika mazingira