Yoshua 7:9 BHN

9 Basi, Wakanaani pamoja na wakazi wote wa nchi hii watakapopata habari hiyo watatuzingira na kutufuta kabisa duniani. Sasa utafanya nini kuonesha ukuu wa jina lako?”

Kusoma sura kamili Yoshua 7

Mtazamo Yoshua 7:9 katika mazingira