Yoshua 8:26 BHN

26 Yoshua hakuushusha mkono wake aliokuwa ameushikilia mkuki wake kuelekea Ai mpaka alipowaua wakazi wote wa mji huo.

Kusoma sura kamili Yoshua 8

Mtazamo Yoshua 8:26 katika mazingira