Yoshua 8:9 BHN

9 Basi, Yoshua akawaambia waende mahali pao pa kuvizia; nao wakajiweka magharibi ya mji wa Ai kati ya mji wa Ai na Betheli. Lakini Yoshua alilala usiku huo katika kambi ya Waisraeli.

Kusoma sura kamili Yoshua 8

Mtazamo Yoshua 8:9 katika mazingira