15 Yoshua akafanya nao mkataba wa amani; akafanya agano kwamba atawaruhusu kuishi. Viongozi wa jumuiya ya Israeli wakawaapia kutekeleza mapatano hayo.
Kusoma sura kamili Yoshua 9
Mtazamo Yoshua 9:15 katika mazingira