Yoshua 9:23 BHN

23 Sasa, nyinyi mmelaaniwa na baadhi yenu daima mtakuwa watumwa wa kukata kuni na kuchota maji kwa ajili ya nyumba ya Mungu wangu.”

Kusoma sura kamili Yoshua 9

Mtazamo Yoshua 9:23 katika mazingira