1 Kor. 1:2 SUV

2 kwa kanisa la Mungu lililoko Korintho, wale waliotakaswa katika Kristo Yesu, walioitwa wawe watakatifu, pamoja na wote wanaoliitia jina la Bwana wetu Yesu Kristo kila mahali, Bwana wao na wetu.

Kusoma sura kamili 1 Kor. 1

Mtazamo 1 Kor. 1:2 katika mazingira