1 Kor. 10:13 SUV

13 Jaribu halikuwapata ninyi, isipokuwa lililo kawaida ya wanadamu; ila Mungu ni mwaminifu; ambaye hatawaacha mjaribiwe kupita mwezavyo; lakini pamoja na lile jaribu atafanya na mlango wa kutokea, ili mweze kustahimili.

Kusoma sura kamili 1 Kor. 10

Mtazamo 1 Kor. 10:13 katika mazingira