1 Kor. 10:6 SUV

6 Basi mambo hayo yalikuwa mifano kwetu, kusudi sisi tusiwe watu wa kutamani mabaya, kama wale nao walivyotamani.

Kusoma sura kamili 1 Kor. 10

Mtazamo 1 Kor. 10:6 katika mazingira