1 Kor. 11:12 SUV

12 Maana kama mwanamke alitoka katika mwanamume, vile vile mwanamume naye huzaliwa na mwanamke; na vitu vyote asili yake hutoka kwa Mungu. Hukumuni ninyi wenyewe katika nafsi zenu.

Kusoma sura kamili 1 Kor. 11

Mtazamo 1 Kor. 11:12 katika mazingira