1 Kor. 11:22 SUV

22 Je! Hamna nyumba za kulia na kunywea? Au mnalidharau kanisa la Mungu, na kuwatahayarisha hao wasio na kitu? Niwaambieni? Niwasifu? La! Siwasifu kwa ajili ya hayo.

Kusoma sura kamili 1 Kor. 11

Mtazamo 1 Kor. 11:22 katika mazingira