3 Lakini nataka mjue ya kuwa kichwa cha kila mwanamume ni Kristo, na kichwa cha mwanamke ni mwanamume, na kichwa cha Kristo ni Mungu.
Kusoma sura kamili 1 Kor. 11
Mtazamo 1 Kor. 11:3 katika mazingira