1 Kor. 12:21 SUV

21 Na jicho haliwezi kuuambia mkono, Sina haja na wewe; wala tena kichwa hakiwezi kuiambia miguu, Sina haja na ninyi.

Kusoma sura kamili 1 Kor. 12

Mtazamo 1 Kor. 12:21 katika mazingira