1 Kor. 13:12 SUV

12 Maana wakati wa sasa tunaona kwa kioo kwa jinsi ya fumbo; wakati ule tutaona uso kwa uso; wakati wa sasa nafahamu kwa sehemu; wakati ule nitajua sana kama mimi nami ninavyojuliwa sana.

Kusoma sura kamili 1 Kor. 13

Mtazamo 1 Kor. 13:12 katika mazingira