1 Kor. 13:2 SUV

2 Tena nijapokuwa na unabii, na kujua siri zote na maarifa yote, nijapokuwa na imani timilifu kiasi cha kuweza kuhamisha milima, kama sina upendo, si kitu mimi.

Kusoma sura kamili 1 Kor. 13

Mtazamo 1 Kor. 13:2 katika mazingira