1 Kor. 14:26 SUV

26 Basi, ndugu, imekuwaje? Mkutanapo pamoja, kila mmoja ana zaburi, ana fundisho, ana ufunuo, ana lugha, ana tafsiri. Mambo yote na yatendeke kwa kusudi la kujenga.

Kusoma sura kamili 1 Kor. 14

Mtazamo 1 Kor. 14:26 katika mazingira