1 Kor. 14:31 SUV

31 Kwa maana ninyi nyote mwaweza kuhutubu mmoja mmoja, ili wote wapate kujifunza, na wote wafarijiwe.

Kusoma sura kamili 1 Kor. 14

Mtazamo 1 Kor. 14:31 katika mazingira