1 Kor. 14:37 SUV

37 Mtu akijiona kuwa ni nabii au mtu wa rohoni, na ayatambue hayo ninayowaandikia, ya kwamba ni maagizo ya Bwana.

Kusoma sura kamili 1 Kor. 14

Mtazamo 1 Kor. 14:37 katika mazingira