1 Kor. 14:6 SUV

6 Ila sasa, ndugu, nikija kwenu na kunena kwa lugha, nitawafaidia nini, isipokuwa nasema nanyi kwa njia ya ufunuo, au kwa njia ya elimu, au kwa njia ya hotuba, au kwa njia ya fundisho?

Kusoma sura kamili 1 Kor. 14

Mtazamo 1 Kor. 14:6 katika mazingira