1 Kor. 15:15 SUV

15 Naam, na sisi tumeonekana kuwa mashahidi wa uongo wa Mungu; kwa maana tulimshuhudia Mungu ya kuwa alimfufua Kristo, ambaye hakumfufua, ikiwa wafu hawafufuliwi.

Kusoma sura kamili 1 Kor. 15

Mtazamo 1 Kor. 15:15 katika mazingira