1 Kor. 15:41 SUV

41 Kuna fahari moja ya jua, na fahari nyingine ya mwezi, na fahari nyingine ya nyota; maana iko tofauti ya fahari hata kati ya nyota na nyota.

Kusoma sura kamili 1 Kor. 15

Mtazamo 1 Kor. 15:41 katika mazingira