1 Kor. 15:48 SUV

48 Kama alivyo yeye wa udongo, ndivyo walivyo walio wa udongo; na kama alivyo yeye wa mbinguni, ndivyo walivyo walio wa mbinguni.

Kusoma sura kamili 1 Kor. 15

Mtazamo 1 Kor. 15:48 katika mazingira