7 Maana sipendi kuonana nanyi sasa, katika kupita tu, kwa sababu nataraji kukaa kwenu muda kidogo, Bwana akinijalia.
Kusoma sura kamili 1 Kor. 16
Mtazamo 1 Kor. 16:7 katika mazingira