1 Kor. 2:11 SUV

11 Maana ni nani katika binadamu ayajuaye mambo ya binadamu ila roho ya binadamu iliyo ndani yake? Vivyo hivyo na mambo ya Mungu hakuna ayafahamuye ila Roho wa Mungu.

Kusoma sura kamili 1 Kor. 2

Mtazamo 1 Kor. 2:11 katika mazingira