1 Kor. 2:6 SUV

6 Walakini iko hekima tusemayo kati ya wakamilifu; ila si hekima ya dunia hii, wala ya hao wanaoitawala dunia hii, wanaobatilika;

Kusoma sura kamili 1 Kor. 2

Mtazamo 1 Kor. 2:6 katika mazingira