1 Kor. 3:8 SUV

8 Basi yeye apandaye, na yeye atiaye maji ni wamoja, lakini kila mtu atapata thawabu yake mwenyewe sawasawa na taabu yake mwenyewe.

Kusoma sura kamili 1 Kor. 3

Mtazamo 1 Kor. 3:8 katika mazingira